Nani bingwa wa kusahau kati ya hawa:-
1. Anayeulizwa jinsia yake mpaka avue nguo ajiangalie,
2. Aliyekuwa anasafiri alipofika stendi akasahau anakwenda wapi.
3. Aliyeingia hotelini baada ya kukaa akasahau kama amekula au la.
4. Yule mwanafunzi aliyefika shule akasahau anasoma darasa la ngapi,
5. Yule binti wa Send off aliyeambiwa na mc amtafute mchumba wake ukumbini ili amtambulishe akawa amemsahau,
6. Niyule mchezaji aliyeingia uwanjani baada ya mpira kuanza akasahau anachezea timu gani
7. Au ni yule Rais aliyekwenda kwenye mkutano wakati wa utambulisho akasahau yeye ni rais wa nchi gani?
No comments:
Post a Comment