Breaking News

Saturday, February 22, 2014

POMBE; TUNGI IKIPANDA VIZURI KICHWANI MAMBO HUWA MENGINE, JAMAA ANAIBIWA MKE HAJUI..

Jamaa alikuwa baa anakunywa, rafiki yake akaja wakawa katika mazungumzo;-
RAFIKI: Vipi mbona leo huna uchangamfu
JAMAA: Wanawake bwana, mwanamke hata umpendeje atakugeuka tu.
RAFIKI: Nini tena ndugu yangu? Mbona shemeji mtu fresh sana
JAMAA: Hata mimi nilikuwa najua hivyo, leo nimegundua kumbe ana siri kubwa sana ananificha, mi naita huu ni UBINAFSI katika ndoa.
RAFIKI: Nini tena?
JAMAA:Nimegundua mke wangu kumbe anafanya biashara ya Kitimoto na hajawahi hata kuniambia RAFIKI: Kitimoto? We umejuaje?
Jamaa alikuwa baa anakunywa, rafiki yake akaja wakawa katika mazungumzo;-
RAFIKI: Vipi mbona leo huna uchangamfu
JAMAA: Wanawake bwana, mwanamke hata umpendeje atakugeuka tu.
RAFIKI: Nini tena ndugu yangu? Mbona shemeji mtu fresh sana
JAMAA: Hata mimi nilikuwa najua hivyo, leo nimegundua kumbe ana siri kubwa sana ananificha, mi naita huu ni UBINAFSI katika ndoa.
RAFIKI: Nini tena?
JAMAA:Nimegundua mke wangu kumbe anafanya biashara ya Kitimoto na hajawahi hata kuniambia RAFIKI: Kitimoto? We umejuaje?
JAMAA: Leo asubuhi nilichelewa kuamka niliamua nijipumzishe kidogo kabla ya kwenda kazini, simu ya mke wangu ikalia, nikaamua kuipokea, kabla hata sijafungua mdomo, nikasikia sauti ya mwanaume mmoja anauliza, "Huyo Nguruwe umeshamuondoa?' Yaani mpaka sasa nashindwa kuamini kuwa mke wangu ananizunguka na kufanya biashara ya peke yake...!! - See more at: http://www.comedyafrica.info/2014/02/pombe-tungi-ikipanda-vizuri-kichwani.html#sthash.ALd3A8Z7.dpuf
Read more ...

MAPENZI KWELI YANA VITUKO VYAKE, CHEKI HIKI AMBACHO HATA WEWE LAZIMA UMEWAHI KUFANYA.

Hahahaha najua wengi wetu tumepitia sanmambo haya ya mapenzi especially kipindi tunakuwa ndipo mambo ya kuandikiana vijibarua na vi message ya ajabu ajabu ambavyo kwa kipindi kile ulkuwa unaona kuwa upo sawa sana na wala hukosei, ila leo ukioneshwa zile vitu ulikuwa unaandkia ka baby kako enzi hizo lazima ucheke sana maana ni utumbo mtupu no any serious words kwa kweli.
Kama Kweli Umepitia Enzi Hizi Like kisha SHARE Hii
- See more at: http://www.comedyafrica.info/2014/02/mapenzi-kweli-yana-vituko-vyake-cheki.html#sthash.VOVFTQRG.dpuf
Read more ...

Friday, February 21, 2014

DUH KWELI DUNIA INA MAMBO, BI KIZEE ABAKWA, SOMA KISA HAPA


HAKIMU: Bibi ieleze mahakama kilichotokea.

BIBI: Nililala nyumbani kwangu mara mlango ukavunjwa akaingia kijana yule pale aliyesimama kizimbani.
HAKIMU: Endelea bibi.

BIBI: Akanivua nguo zote kisha akanipanda.
HAKIMU: Enhee...

BIBI: Akawa anakata kulia mimi kushoto, kulia mi kushoto, nilimpa mauno c mchezo! 
Alidhani mimi bwege cyajui mambo.
HAKIMU: Duh sasa nini kilichokuleta mahakamani!!?.

BIBI: Ajenge ule mlango aliouvunja tu basi ila usiku aje kama kawaida...!
- See more at: http://www.comedyafrica.info/2014/02/duh-kweli-dunia-ina-mambo-bi-kizee.html#sthash.FEbKKea8.dpuf
Read more ...

WATU HUWA TUNASAHAU VITU LAKINI HAWA NDIO MABIGWA WAKUSAHAU, WAONE HAPA

Nani bingwa wa kusahau kati ya hawa:-

1. Anayeulizwa jinsia yake mpaka avue nguo ajiangalie,

2. Aliyekuwa anasafiri alipofika stendi akasahau anakwenda wapi.

3. Aliyeingia hotelini baada ya kukaa akasahau kama amekula au la.

4. Yule mwanafunzi aliyefika shule akasahau anasoma darasa la ngapi,

5. Yule binti wa Send off aliyeambiwa na mc amtafute mchumba wake ukumbini ili amtambulishe akawa amemsahau,

6. Niyule mchezaji aliyeingia uwanjani baada ya mpira kuanza akasahau anachezea timu gani 

7. Au ni yule Rais aliyekwenda kwenye mkutano wakati wa utambulisho akasahau yeye ni rais wa nchi gani?

Read more ...

MNAWAFUNZA NINI WATOTO! ONA HUYU NAYE ALICHOFANYA


Kweli anashangaa makalio?
Read more ...

DUUH! KWELI MAJUU HAMNAZO, ETI HII NI MASSAGE INAFANYWA NA TEMBO


Inasemekana eti hii ndio massage hatari zaidi inayofanywa na tembo kwa watalii baadhi ya nchi za wenzetu...yataka moyo sana kwa anayefanyiwa hii kitu...!!MAJUU KWELI HAMNAZO 
Read more ...
Designed By